Baby products
  • December 10, 2022
  • Last Update July 1, 2022 11:51 am
  • Nairobi

Kajala Masanja Exposes Hamisa Mobetto, Rayvanny

Kajala Masanja Exposes Hamisa Mobetto, Rayvanny

Things are turning hot from one social media platform to another.

Paula’s mum Kajala Masanja who is a renowned actress is once again not happy; through her social media pages, she blame Hamisa Mobetto for being the link between her daughter and the WCB singer Vannyboy.

Here is what she said,

“Mimi ni mzazi ambaye namlea mtoto wangu kwa katika mazingira magumu sana kutokana na tofauti moja mbili tatu na baba mtoto wangu lakini mimi nilikuwa nikipambana na kumpa kila anachotaka mtoto wangu ili aweze kutimiza ndoto zake kama msichana mana kesho nitakuja kumtegemea. Lakini pia nilikuwa nikikumbana na changamoto tofauti tofauti ambazo zinamkumba paula kama msichana lakini shutuma nyingine huwa zinanijia mimi direct kama mzazi wa paula sina budi ya kuzipokea na kukumbana nazo as long as Mungu anajua ukweli wangu ,jinsi gani namtunza mwanangu na kiasi gani napambana kwa ajili ya mwanangu,basi yote yaliyotokea ya kunichafua na kunifanya nionekane mbaya kwenye jamii huwa namwachiaga Mungu tu.”

She added,

Ilikuwa tarehe 9 saa 6 mchana hamisa mobeto aliniomba kutoka lunch na mwanangu, sikuona haja kumkatalia kwa sababu nilijua yeye ni mzazi ambaye ana mtoto pia wa kike,kumbe ndo hiyo siku alitake advantage kwenda kumkutanisha na rayvanny kwa manufaa yake binafsi,walimrubuni mtoto mdogo kwa kumnywesha pombe,wamemrecord video Chafu sawa mimi ni Mnyonge siwezi wafanya Chochote basi Hata Muogopeni Mungu Kama Mungu Hamumuoni Hamuiogopi serikali ? na kuvujisha video bila woga wakati ni mtoto mdogo anasubiria mwezi wa 6 kuingia form 5 siamini kama kuna alie juu ya sheria Katika taifa hili kama leongo lilikuwa ni Kudet Mtoto Mdogo ili Kutimiza Matendo Haya Machu Ya Kustaajabisha haitoshi mnampatia mtoto pombe na kumrecord Video chafu lengo lilikuwa nini Kama sio kuharibu Maisha ya msichana wa kitanzania ?

Nimeumizwa mno na Hamissa mzazi mwenzangu hata kama iwe paula ndo alimwambia anaenda kukutana na rayvanny kama yeye mzazi ange Vaa kiatu changu na kujiuliza kinachoenda kutokea ni kitu gani au kama ni mimi nafanyiwa hivi ningejisikiaje? nimeshikwa na bumbuazi sina nguvu naomba Mamlaka husika wanisaidie kwenye hili mana hili pigo ni lawazazi Wote Duniani
Paula ni msichana mdogo sana ana ndoto zake leo hii ameharibiwa profile nzima Je mmefikiria maamuzi gani anaweza chukua huyu mtoto kuona video kama hizi zinatambaa mtandaoni kama akiamua kujinyonga je?.
Naomba sana msaada serikali yangu na mamlaka husika juu ya hili. 🙏

On the other side of the coin, Hamisa Mobetto distanced herself from the stories saying;

Jamani hata kama HAMISA MOBETTO ndio jumba bovu lenu la kutupia takataka ifike mahala ifike ukomo. Siamini kama baada ya kukaa na kutafakari cha kuexplain kuhusu haya mmeona mimi ndio ninaweza kuwa Damage Controller. Kajala hiyo tarehe 9 mwanao aliniomba nimtoe Lunch, nikamwambia inabidi niongee na wewe kwanza, na nikakupigia ukaona ni sawa tu.

According to Hamisa Mobetto, she took Paula for lunch; but whatever happened after that its all Paula’s plan.

Nilimtoa Lunch na muda wote nilikua naongea na wewe kwenye simu mpaka nimemrudisha hapo Gym kwako Mimi mwenyewe soon after lunch. Na huoni Kama unaongea uongo hadharani bila woga?? Siku ninatoka na Paula alikuwa na nywele hizo za kwenye videos? Naomba nilaumiwe kwa kukubali ombi la kumpeleka mwanao lunch na si vinginevyo. Mimi ni Mama, mfanya biashara, mdau na balozi wa makampuni mbali mbali. Brand yangu nimeijenga kwa muda mrefu hivyo ningependa iheshimike na isichafuliwe kwa shutuma za uongo kama hizi. Mimi pia ni mzazi na mtoto kwa mama yangu kama ilivyo wewe.

Hamisa promised not to let her name get tarnished for no reason; and took a step to have her lawyers handle the matter.

Nimeona nisafishe upepo mchafu huu uliouelekezea kwangu siku hii ya wapendanao, lakini zaidi you’ll hear from my lawyer. Rest assured sitaliacha hili lipite bure, nafikiri itakuwa fundisho zuri na kwa wale wooooote ambao wamekua wakichafua jina langu kwa upuuzi wao.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Note: Your password will be generated automatically and sent to your email address.

Forgot Your Password?

Enter your email address and we'll send you a link you can use to pick a new password.